Kim Nana , Diamond sasa ni maadui wakubwa.
MMwanadada ambae alisifiwa saa na mama mkwe baaada ya mwanadada huyo kuonekana katika mahaba mazito na mtoto wa mama mzaa chema Mama Dangote , inasemekana kuwa mwanadada huyo kwa sasa wamekuwa maadui wakbwa na msanii huyo mabae alitangaziwa mpaka ndoa.
Kimnana ambae liibuka ghafla katika kujiongeza katika list ya wanawake waliowahi kuwa wapeniz wa msanii Diamond Platinumz alionekana kuwa mwenye mahaba mazito sana kwa msanii huyo hata kufikia htua ya kutangza kuwa yuko tayari kubadili dini kwa sababu ya ndoa.
Hata hivyo inasemwa kuwa wawili hao kwa sasa ni maadui wakubwa hata mwanadada huyo kufikia hatua ya kum-block msanii huyo kisa tu baada ya msanii huyo kuamisha majeshi ya mapenzi kwa mwanadada mwingine kutoka Kenya anejulikana kama Tanasha.
Kimnana alinangwa sana katika mitandao ya kijamii kuhusu kuanza uhusiano na msnii simba lakini hakutaka kusikia na hata waliogombana na kucahana watu wengi walisema kuwa walijua kuwa penzi hlo haliwezi kufika mbali.