Kuzaa Sio Fashion :-Amber Lulu
Mwanadada kutoka katikakiwanda cha muziki tanzania Amber Lulu amefunguka na kusema kuwa anatamani sana kuzaa lakini hawezi kuleta mtoto duniani ilhali hana hata uweoz wa kulea kama inavyostahili.
akiongea na mwandishi mmoja ,Amber lulu anasema kuwa kuzaa sio swala la fashion kwamba ni lazima uzae lakini kuna vitu lazima uangalie kwanza kabla ya kuzaa.
sio kwamba sipendi mtoto jamani, hapanasema tu ramani bado haijasomeka kabisa, sio nazaa lafu hata ela ya lununulia pampers nakosa, kitu icho sipendi kabisa, bado naangalia kwanza kwa sababu kuzaa sio fashion kila mtu azae tu.
Ukiangalia kuwa circle karibia yote ya mwanadada huyo kwa sasa wamekuwa na watoto kama Hamisa Mobeto, na rafiki yake kipenzi Gigy Money lakini amber lulu anakwambia kuwa uzaa sio fashion muda wake ukifika atazaa tu.