Sijabadili Dini li Nioe wanawake Wengi :-Chaz Baba
Mwanamuziki wa miondoko ya dansi nchini Chaz Baba amefunguka na kukanusha taarifa kuwa sababu yake kubwa ya kubadili dini kutoka ukristo kwenda kuwa muislam ni kwa sababu ya kutaka kuoa mwanamke zaidi ya mmoja kama watu wanavyosema.
Akijibu swali hio, chaz baba alisema “sijabadili dini ili nipate fursa ya kuoa wanawake wengi, niebadili tu kwa sababu nimeamua kubadilisha dini basi ”
kwa upande mwingine , msanii huyo amewataka mashabiki zake kukaa mkao wa kula kwa sababu ana mpango kuwapa burudani kali msimu huu wa sikukuu.