Sister Fey Afunga Ndoa na Kiben Ten Chake.

Mwanadada Sister Fey ambae hapa karibuni aliwekwa rumande kutokana na kusambaza picha zisizokuwa na maadili wakiwa faragha na mpezni wake aliejulikana kwa jina la kisanii Holystar, wameamua kufunga ndoa na kuhararisha mahusiano hayo kimya kimya.

Ikiwa bado watu wanajua kuwa mwanadada huyo yuko Rumande , ghafla jana zilianza kusambaa picha zikimuonyesha mwanadada huyo akiwa katika vazi la harusi na mwanaume huyo wakiwa na furaha ya tendo hilo.

download latest music    

Hata hivyo  mashabiki na wtu mbalimbali wanaamini kuwa kuna kitu kikubwa Sister Fey atakuwa amejifunza baada ya kuwekwa rumande na kukosa wa kumtetea kutokana na ukosefu wake wa maadili na kwa kufunga kwao ndoa basi watahshimu mahusiano yao.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.