Mama Diamond Ampiga Hamisa Vijembe kwa Mafanikio Yake.
Mama wa msanii Diamond Platinumz ameonyesha kupinga vikali kila maendelea anayoyapiga moja ya wanawake waliozaa na mtoto wake Hamisa Mobeto kutokana na vijembe anavyoamua kumrushia katika mitandao ya kijamii .
Wikiend hii ilisambaa picha ya Hamisa Mobeto akiwa amesimama na mchina mmoja huku wakionekana kupenana mikono kama ishara ya tukio muhimu lililokamilika la kusaini mikataba fulani lakini kitu cha ajabu mama wa msanii Diamond ametupia dongo ilo huku akisema kuwa kuna watu wameeenda kupiga picha na wachina Kariakoo.
Katika post hiyo ambayo inamuonyesha mwanamke akiimba wimbo wa Diamond huku ikisemekana kuwa huyo ndio mwanamke aliyenae sasa hiv Diamond kutoka Nigeria, Mama Diamond alifanya ku-repsost kutoka kwa diamond huku yeye akiandika maneno yenye hashtag ya #watuwameendakariakookupigapichanawachinatuonedeal