Sister Fey Amlilia Linah, Asema Anatamani Ampeleke Polisi

Mwanadada msanii wa muziki ambae kwa sasa amekuwa akitrend na drama zake katika mitandao ya kijamii kuhusu  kuwa na mahusiano na kibenten lakini pia kutokana na vituko ambavyo wamekuwa wakifanya katika miadao ya kijamii ameonekena aklia alipokuwa anahojiwa kuhusu msanii mwenzake linah.

Hivi karibuni, Linah alisikika akisema kuwa amekuwa akiwachukia Sister Fey na Holystar mabae ndio mpezni wake kwa sasa kutokana na mambo wanayoyafanya na kuyaweka hadharani kiasi kwamba wanaonekana kama wanaigiza.

download latest music    

Mwanadada Linah Sanga.

Hata hivyo baadaya kusikia hivyo Sister Fey anasema kuwa amelipoke swala hilo kwa masikitiko makubwa na anachoamini  ni kwamba kama mtu anatangaza kuwa anakuchukia mana yake anweza kukufanya kiyu chochote kile  hata kukuua kwa sababu tayari anakuchukia.

sister fey anasema kuwa anatamani kwenda polisi kwa sababu anahofia sana usalama wake kwa sasa “wasanii ni kweli hatupendani kabisa na huenda labda anataka kuniua,siajpedna na nimeua , mpenzi wangu ameuamia ila mimi nimeumia zaidi.kwa sababu ukiangalia sasa hivi pia kuna msanii mwenzetu anaumwa kwa sababu tu ya kuwekewa  sumu kwenye kinywaji

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.