Diamond Atoa Ofa kwa Mashabiki Kusherekea Birthday ya Tiffa S.A
Baba mzazi wa mtoto Tiffah, Daimond Platinumz ametoa ofa kwa mashabiki zake kusherekea sikukuuu ya kuzaliwa ya mtoto huyo itakayo fanyika huko nchini Afrika ya Kusini.
Diamond ametoa wito kwa mashabiki zake kuwa kama challenge atakayo itoa itaweza kujibiwa na kufanywa kama anavyotaka basdi mashabikiwatakao ptia kwa usahihi kabisa watapata ticket za kwenda huko afrika a kusini.
katika ukurasa wake wa instagram Diamond aliandika ” watu 30 wne bahati nitawalipia ndege na malazi kwenda kusherekea birthda na @ tiffah uzaliwa wake south Africa …wanyumbani kama live on wasafi tv “
Hata hivo Diamond anasema kuwa kwa wale waliopo nyumbani watapata matangazo a sherehe nzima katika televisheni a WCB itakaoooneshwa Live.