Macho Hayana Pazia na Moyo Hauna Macho;-Alikiba
Msanii wa muziki wa bongo fleva amefunguka na kumsifia mwanamke wake aliyefunga nae ndoa siku ya leo huku mjini mpmbasa amefunguka na kusema kuwa yeye kukutana na kuoana na bi Amina ni swala la moyo kunusa na wala sio kitu kingien hata hivyo alikiba amesema kuwa maswala mengine ni ya undani sana kwa nini ameoa kenya na wala sio Tanzania.
Wanasemaga macho hayana pazia lakini pia mimi nasema kuwa moya hauna macho, moyo unanuasa tu na mimi nimenusa tu kwakweli.moyo unapenda wenyewe, mimi sijaweza kuona moyo wenyewe ndo umependa , mimi niko tanzania ntaonaje huku.Maswala mengine ni personal sana.
Maswali mengi yamekuwa yakizuka katika mitandao kwa vijana wengi wa Tanzania kwenda kuona nje ya nchi lakini mpaka leo halijapata jibu ya swala hilo huku kila mmoja akijitetea kwa upande wake.