Gadner G Habash Arudi Clouds Fm.
Mtangazaji nguli wa siku nyingi Gadner g Habash amerudi rasmi katika radio aliwahi kuifanyaia kazi hapo mara ya kwanza na kuondoka kwend radio nyingine .Gadner ambae hapo awali aliama kutoka Clouds Radio na kwenda EFM amerudi tena Clouds radio siku za hivi karibuni.
Katika ukurasa wake wa Instagram, mwanadada Diva the Bawse ambe pia ni mtangazaji wa Clouds Radio aliandika katika ukurasa wake akiwa ameweka picha ya Gadner akiwa na Shaffi Dauda huku akiwa anasaini mkataba.
So i wanted to post him toka jana..welcom back captain g habash ,,I am the happiest girl inthe earth..you made me… s/o to my big boss yaan captaiinn g habaash ..umeonaa bhanaa