Zamaradi Aja na Kampeni ya Kukomboa Wakina Mama
Mwanadada jasiri na aliye na ushawishi mkubwa bongo Zamaradi Mketema aekuja na kampeni yake inayohusu kuwkomboa wanawake bila kujali umri wao wala kipato chao katika jamii.Zamaradi ambae anatoa wito kwa wanawake wote kukutana ili kuzungumza maswala mbalimbali yanayowakabali wanawake anawataka wanawake kujitokeza ili kuzungumza na kuweza kutatua matatizo yao.
Kongamono ilo ambalo liatafanyika tarehe 15 april mwaka huu litahusisha wanawake wa rika zote na kuwa hakuta kuwa na kiingilio katika kongamano hilo.
Wasanii wengi wa kike sasa wameinuka na kuanza kurudisha fadhila kwa jamii , kwa kuangalia mfano mzuri aliazna Faiza Ally ambae aliweza kufanya kongamano la wanawake ambao wanamajukumu ya kulea famialia wenyewe maaarufu kama Single Mothers na sasa Zamaradi anaingia katika jamii kukutana na wanawake wengien wenye changan moto mbalimbali.