Miss Tanzania Kuja na Sura Mpya
Baada ya kampuni ya Lino kushindwa kusimamia mashindano ya misss tanzania na kupewa dhamana hiyo kampuni ya The lLook, kiongozi wa kampuni hiyo Basila Mwanukuzi anasema kuwa wamejipanga vilivyo na wameona kuwa wanataka kuifanya mashindano hayo kuwa yenye dhamani na wamekuja na taswira mpya ya mashindao hayo.
Basila Mwanukiuzi aliyewahi kuwaMiss Tanzania mwaka 1998, amesemakuwa kwanza wameamua kufuta mashindano ya vitongoji kwa sababu yalikuwa yana ubabaishaji sana katika utaoji wa zawadi.
Haiwezekanai Tanzania kwa miaka 10 tumeshindwa kung’ara katika mashindano ya miss tanzania lazima kutakuwa na tatzo mahali tu,ambapo sisi sote tunatakiwa kulifanyoa kazi.moja kati ya maambo tunatakiwa kuyafanyia kazi ni kuondoa wababaishaji ambao wamekuwa wakifanya mashindao haya kukosa heshima kabisa.-Alifunguka kiongozi huyo alipokuwa akiongea na waandishi wa habari.