Godlucky Haamini kukutana na Raisi na Kumpa Mkono.

Mwanamuziki anaefanya vizuri katika nyimbo za injili, Godlucky Gosbeth amefunguka na kusema kuwa hakuamini alipokuatana na raisi katika sherehe za uzinduzi taasisi ya Jakaya  Kikwete  iliyofanyika siku za hivi karibuni   jijini Dar es salaam.

Godlucky anasea kuwa kwake ni bahati sana  na hakutegemea kama angeitwa pale mbele kwa ajili ya kusalimiana na viongozi wakubwa wa serikalai mpaka alipotoka ikulu ndipo alipoaanza kuamini kuwa ni kweli jambo lile limetendeka.

download latest music    

Godluck  anasema kuwa , kuonekana kwake na kusalimiana  na viongozi wakubwe imemfanya apokee simu nyingi sana zikimpongeza kwa kazi hiyo nzuri aliyoifanya na hata yeye pia anashukuru Mungu kwa kuwa anazidi kumbariki.Godlucky aliyaongea hayo alipokuwa akiongea na radio clouds fm.

Hata katika ukurasa wake wa instagram , Gudluck aliandika maneno ya kumshukuru Mungu kwa kuandika kuwa katika maisha yake hakuwahi kuwaza kama kuna mambo makubwa kama hayo yangeweza kutokea katika maisha yake lakini anachoamini ni kwamba Mungu amekuwa akitimiza ahadi alizokuwa ameweka kummtimizaia maishani mwake.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.