Billnass Amkana Nandy, Asema Picha Zilipigwa Studio Mwaka Jana

Ikiwa jana ni siku yake ya kuzaliwa mwanadada Nandy aliweka picha yake na billnass ambayo ilizua utata kidogo baada ya picha hizo kuonekana kana zina ukaribu unaoashiria mahaba kwa wasanii hao.hata hivyo hakuna hata mmoja ambae alitaka kutolea ufafanuzi kwa mashabiki inagwa mashabiki walijipa majibu wao wenyewe nkuwa wawili hao watakuwa wapenzi.

Bilnass ameamua kufunguka kuhusu picha hizo na kusema kuwa picha kati yake na Nandy zilipigwa siku nyingi tangu mwaka jana walipokuwa studio na kulikuwa na watu wengi  mahali walipkuwa wakipiga picha.

download latest music    

Billnass anasema kuwa picha kama hizo zinaweza kupigwa na mtu yoyote  na kwa upande wake hakuwa na wasiwasi wowte alipokuwa akipiga picha hizo ila tu watu wamefikiria walivyofikiria.

Hii sio mara ya kwanza kw abillnass kukataa kuwa na mahusiano na nandy ingawa nandy amkuwa akionyesha hisia zake kwa binass na hata kufikia hatua ya kusema kuwa bilnass ndie mwanaume anaemuona kuwa anasifa za kumuoa.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.