Muonekanao wa mastaa mbalimbali katika Tuzo za SZIFF
Wikiendi hii ukiachana na kuwa ilikuwa ni wiki ya pasaka na sikukuu uwa nyingi, lakini pia tanzania ilitikisa hasa katika upande wa filamu baada ya wasanii mbalimbali kutwaa tuzo katika usiku uliondaliwa na DSTV, kutoa tuzo za sinema zeu ambapo washiriki walikuwa wakipigiwa kura kwa takribani miezi kadhaa.
wasanii mbalimbali walihudhuria ktika siku hiyo na hata baaadhi ya wabinifu wanasema kuwa wasanii wa bongo wameaza kuendana na mabadiliko ya sasa ya uvaaji kama inavyoonekana hapo chini.
Diamond akiwa na meneja wake usiku wa kutoa tuzo tayari kwa kuingia ukumbini.
Faiza ally akiwa red carpet
Irene Paul kwa muonekano murua
Mboni masimba katika ubora wake
Hamisa Mobeto nae alikuwepo
Shilole katia kivazi cha usiku
Msanii Vannita kutoka bongo movies
Mama yake mzazi na Daimond Platinumz
Msanii Celine akiwa na mtangazaji wa Cloud Tv, Aziza.
Ommy dimpoz akiwakilisha vijana wanaojua kuvaa
Wema sepetu katika muoekano maridaadi