Ujauzito wa Zamaradi Watia Gumzo Sinema Zetu

Ni mama mwenye watoto wawili sasa lakini mara zote amekuwa akifanya siri mpaka pale anapojifungua ndio inaonekana kupitia picha zake wakati wa ujauzito wake.lakini safari hii imaekuwa tofauti sana pengine labda kutokana na majukumu aliyokuwa nayo sasa yanambidi kukutana na jamii na hata kuonekana katika mitandao ya kijamii.

Zamarad juu aliwaacha watu wengi midomo wazi kwa kumsema baada ya kumuona akiwa na kibendi huku watu wengi wakiwa hawajui kama Zamaradi yupo katika hali hiyo.

download latest music    

Mimba sio ugonjwa lakini, inakuwa tofuti pale ambapo haikuwa kawaida kwa watu kukuona katika hali hiyo hapo mwanzo.akiwa katika tuzo hizo zamaradi alitakiwa kupanda jukwaani na kutoa tuzo na ndipo ilipoonekana zaidi na watu wengi kujua kumbe kweli ni mama kijacho.

Baadhi ya watu jukwaani walikuwa wakishangaa na kusikika wakisema”si juzijuzi tu kaolewa ona mara hii ana mimba, angalia gauni lilivyombana, tumbo lote linaonekana wakati alikuwa akifanya siri na kutuma picha zilizokuwa zikimuonyesha sura tu.-moja wa waliokuwa ukumbini alisikika akisema.

Zamaradi amekuwa maarufu na mashuhuli sana kutokana na mchango wake mkubwa katika tasnia ta filamu kutokana na kipindi chake cha take one kilichokuwa kikiwahoji  wasanii wa filamu nchini.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.