Aunty Ezekiel Ajibu Tuhuma za Kuazima Nguo kwa We ma Sepetu
Mwanadada aunty ezekiel amefunguka na kujibu tuhuma zilizokuwa zikimkabili kuhusu tabia yake ya kuazima nguo kwa rafiki yake wa karibu Wema sepetu , tuhuma ambazo zimekuwa zikisambaa katika mitandao kila kukicha.
Aunty ezekile amesema kuwa nguo wanayosema ameazima zilishonwa mbli na yeye ndi aliyekuwa wakwazna kuvaa nguo hiyo lakini anashnga sana watu wanapokuja na kumtuhumu kuhusu swala hilo.
Hata hivyo Aunty anasema kuwa bado kwao sio shda kuvaliana nguo kwa sababu ni marafiki hivyo ni swala la kawaida.
Kwanza kuazima nguo sio shida kwetu kwa sababu ni rafiki yangu lakini cha ajabu ni kwamba nguo wanayoizungumzia wao zimefanana wala hakuna aliyenda kugonga hodi kwa mwenzake.-Alijibu Aunty
Wawili hao wamekuwa marafiki kwa muda mrefu sasa ingawa hapo katikati walikuwa wakionekana kutokuwa pamoja lakini sasa ivi mapenzi yamerudi na kuwa mapya kabisa.