Maneno ya Rayvanny kwa bosi wake Diamond.
msanii Rayvanny amefunguka na kuzungumzia yale anayoyapitia bosi wake ( DIAMON PLATINUMZ ) na kumwambia kuwa hakuna mafanikio ambayo hayana changamoto wala kukosa maadui.katika ukurasa wake wa instagram Rayvanny aliandika:-
Kuna vitu pengine unaweza kuwa unapatia au unakosea , sitaki kuongelea hiloswala kwa sababu wewe pia ni binadamu.ILA KWNYE KUSEMA UKWELI NITASEMA sio kwa sababu wewe ni boss wangu hapana !!ila mara nyingi thamani ya mtu na umuhimu wa mtu watu huwa wanajua pale ambapo anakuwa amondoka.MUZIKI NI KAZI NA NI AJIRA namaanisha kuwa kuna familia nyingi tu zinaishi kupitia huu mziki.
DIAMOND KATIKA WASANII WOTE wewe umekuwa ni msanii wa kuongeza chachu kwa wasanii wengine, na kupitia wewe naamini kuwa wengi wamefanikiwa , KUJITOA KWAKO NA KUAMINI KATIKA UMOJA NA PIA KUTHUBUTU ndipo kulikokufanya unafanikiwa….USHAAMBIWA KUWA HAUJUI KUIMBA lakini uliimba na ukafanikiwa, ULISHAAMBIWA UNAVIMBA UNAIGIZA MAISHA lakini sasa unayaishi hayo maisha ..hakuna aliyefanikiwa akakosa maadui ndivyo dunia ilivyo…
MIMI ULINISAIDIA ULIJUA SHIDA ZANGU naaminikuwa mungu alikutumia wewe ukawe mkombozi wangu KWAIO KUMBUKA KUWA ILI MBEGU ITE LAZIMA IOZE…. SINA MUDA WA KUMSMA MTU ILA FANYA KAZI SIMBA
Hivi karibuni diamond aliingia katika vita na Naibu waziri kwa sababu ya kufungiwa kwa nyimbo zake mbili , na pia hivi karibuni alifunguka na kusema kuna watu na md=edia zipo kwa ajili ya kuua muziki wake na lebel yake.