Mr.T Touch:Anachokosea Ney wa Mitego ni Kuwa Muongo.

Producer maarufu bongo Mr.T  Touch amefunguka na kuongelea hali ilivyokuwa kipindi  anaaacha kufanya kazi katika studio ya msanii Ney wa Mitego na kuanza kufanya kazi mwenyewe.Mr T Touch na Ney wa Mitego walikuwa wakifanya kazi wote kwa muda mrefu lakini baadae walikuwa kutofautina na kujikuta kuwa kila mmoja ina bidi aendele na ustaarabu wake huku Mr.T Touch akitakiwa aanze upya kwa sababu kipindi chote alikuwa akifanya kazi kweny studio ambayo sio yake.

Nay wa Mitego alipojenga na kuikamilisha studio ya Free Nation alisikiki akisema kuwa ameamua kutengeneza studio hiyo kama zawadi kwa Mr.T.Touch kwa sababu ya kazi nyingi na nzuri amabzo alishawahi kumfanyia naatakazoendelea kuzifanya wakiwa wote.

download latest music    

Gata hivyo Mr .T Touch alipokuwa akielezea jinsi hali ilivyokuwa mpaka kuachana na Nay wa Mitego ni pale ambapo mr t touch alipoamua kuandaa show mkoani songea ambapo ilitakiwa kupatiwa sapoti na wasanii wake aliwahi kuwatengenezea nyimbo akiwemo Nay wa Mitego na BillNass lakini cha kushangaza zaidi nay wa mitego hakutokea mpaka dakika ya mwisho ilhali alipokwa akiwasiliana nae alimwambia anakuja ukumbini kumbe yuko Mwanza.

Situation ya kuachana na Nay wa Mitego ilikuwa ngumu sio kama watu wanavyodhania ilikuwa.unajikuata uanatumia nguvu nyingi kwa mtu lakini hakuna return yoyote.bay alinifanyia kitukibaya sana.kitu anachokesea Nay ni kuwa muongo, na uongo unatengeneza picha mbaya sana, akija ufanye nae mahojiano muulize alinitumia shingapi siku hiyo.

Tulikuwa tunakwazana tangu zamani tunarekebisha tunaendelea na kazi,ila shida yake anachukulia vitu kawaida sana  na vitu vingine amekuwa akifanya kwa mazoea.

sikatai mimi na Ney tumesaidiana sana, na amenisaidia sana siwezi kukataan kwahilo.

Hatujawahi kuongea kwa sababu tangu tumegombana hatujawahi kuonana.

Hata hivyo Mr T Touch anasema kuwa ni vigumu sana kwa producer kunufaika na maslahi ya muziki hasa wa studio na ndio maana huwa wanaanda show za wasanii wao ili waweze kugawana kidogo hivyo msanii anapotokea akakuangusha kwenye show inakuwa haina faida tena.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.