Diamond Kuipeleka Wcb Nje ya Tanzania.
Inavyosemekana kuwa Wcb ndio lebo kubwa nchini na nje ya nchi kwa ukubwa na kudumu katika industry ya muziki, wasanii wengi wanataka kuwa kama Diamond katika msimamo wa kutaka kuimarisha lebo zao.
Hata lebo nyingi zilizoanzishwa sasa zimekuwa zikiiga mfano mzuri wa diamond platinuzm katika kutengeneza lebo na kuisimamai kama anavyosimamaia Diamond platinumz.Yeye mwenye we huwa anasema kuwa kitu kikubwa kinachofanya lebo yake kuweza kukua na kuendekla hata wasanii wake wote kufanikiwa ni kwa sababu wasanii hao wanaheshimu kazi hiyo kwa sababu ndio inayowapa kula na kutunza famila zao.
Msanii huyo mkubwa na meneja wa lebo hiyo siku ya tarehe 15 February, alitangaza kuwa wanaangalia mbele katika kuipeleka lwbo ya wasafi mele zaidi wakianzania na nchini kenya.lengo kubwa ni kusaidia wasanii wengi zaidi Afrika katika kuwatoa kimuziki ili waweze kufanikiwa na kukuza muziki wa afrika.
Akiandika katika ukurasa wake wa instagram, diamond platinumz anawaalika watu wote kujua kuwa lebo ya wcb imekuwa na sasa inaaanza kutanuka na kuchukua wasanii nje ya Tanzania kwa ajili ya kufanya nao kazi”as we are abaout to launch wcb wasafi branch in Kenya , pls help me tag all tarented artist in kenya you would like to besigned under Wcb_wasafi (kama mnavyofahamu kuwa mwaka huu wasafi tunatarajia kufungua tawi jipya nchini kenya , maalumu kwa ajili ya kunyanyua wasaniiwengne vijana tokea mtaani…tafadhali naoma nisaidie kuwatag vijana wote wenye vipaji Kenya .