Size 8 Remembers How Willy M. Tuva Helped Her With Fare When She Was Upcoming

Yesterday Mzazi Willy M. Tuva celebrated seven years hosting Mambo Mseto on Citizen Radio. The presenter talked to a couple of celebrtities and fans to ask them about their Mambo Mseto experience, most interesting of which was singer Size 8’s.

“Nakumbuka tulikuwa studio tumeketi na akina Jua Cali. Hiyo ndiyo ile time nilikuwa nimetoa Size 8, nilikuwa naitwa Linet back then. Akina Jua Cali walikuwa wananiambia kabla ngoma i-hit, lazima ipitie kwa mkono ya Mzazi. Kwa hivyo hiyo ndiyo ilikuwa wish yangu, ngoma yangu ichezwe Mambo Mseto.

Nakumbuka nikienda Citizen radio nimesimama hapo nje, nimenyeshewa, natetemeka nikikungojea. Sijui kama unaweza kumbuka hiyo siku. Halafu ukakuja, ukachukua ngoma yangu, lakini haukuenda. Ni kama uli-notice sikuwa sawa. Ukaniuliza shida ni nini. Nikakuambia mimi hata sina fare. Ukaniuliza mahali naishi, nikakuambia Kariobangi South.

Ulichukua gari yako ukanipeleka mpaka Jogoo Road. Halafu bado haukuniacha hivyo, unakumbuka? Ukanipatia mia mbili na fare kutoka hapo ilikuwa tu 30 bob. Kwa hivyo, mimi Mambo Mseto imenilea kimziki na pia njia ingine. Na-appreciate sana.”

About this writer:

Adam Wagwau (Writer)