Singer Ray C has shown remorse after the government banned actress Wema Sepetu from taking part in any film related activities after a raunchy clip of her and boyfriend leaked online.
Wema Sepetu was forced to make an apology by authorites for the video before being banned.
“Nimekosea sana na ninaomba radhi na upuuzi ambao nimefanya. Tangu nimeingia kwenye dunia ya umaarufu 2006 nimefanya utoto na ujinga mwingi sana ambao umekua ukivunj watu wengi nguvu.” she said.
Change
Ray C took to social media to post a long letter showing support and encouragement to the actress. She asked her not to give up despite what has happened and to stay positive since things will chance for the better.
Here’s the letter:
“Nakumbuka 2006 Mange alinipigia Simu akaniambia anakuja nyumbani na mshiriki mmoja atakaeperform wimbo wangu kwenye kipengele cha Vipaji kwenye mashindano ya urembo ya (Miss Indian Ocean)na inabidi tumvalishe kama mimi nikamwambia sawa!walipofika nyumbani Kwangu nilimwangalia wema juu mpaka chini na alivyo mrefu,nikamwambia Mange huyu anashinda Miss Tanzania,nakumbuka alikuwa mwembamba,mrembo na mwenye aibu and I was like Wow!!!!
“Anyway kiufupi Nakupenda mpaka leo Wema,Maisha ni Kama milima!wewe bado ni mdogo sana na una nafasi ya kuwa utakacho!pamoja na yanayoendelea sasa bado moyo wangu una imani na wewe kuwa utasimama tena zaidi ya juzi jana na leo na Utakua.Never give up!
“Dunia inaweza kukubadilikia kutoka kuwa kipenzi cha watu na kuwa Public enemy number one!Its normal!!!Its ok!ila kumbuka Familia yako ndio kila kitu!Please usihuzunike ukajiona wewe ndo mkosaji dunia nzima maana kila binadamu ana majanga yake ni Mungu tu ndio mkamilifu ingawa sio sababu ya kutufanya kurudia makosa over and over again!
“Nakupenda na nina imani na wewe!Nakutakia kila la kheri katika maisha yako na natamani kumuona Wema Mpya.Lots of love @wemasepetu ”