Mohammed Ali says Joho and his family have been running smear campaign against him. Ali says the genesis of his beef with the Joho isn’t his decision to vie against the governor’s kin Said Abdalla Saido.
Ali explains that he fell out with Sultan when he dropped an exposé on drug barons. He says that the governor was shocked when his name was included in the list.
“Wengi mumetaka kujua tofauti zilizopo kati yangu, Abubabakar Joho (ABUU) na Ali Hassan Joho Gavana wa Mombasa.
“Wanajigamba pwani kwa kudhalilisha watu hadi kufikia mmoja kujiita ‘mungu eti Alpha’. Wangapi matajiri wapo pwani na bado wanaheshima zao pasi kuwafanya wengine watumwa? Kwani cheo na pesa ndiyo tiketi ya kudharau na kukandamiza haki za wengine?.
“Tofauti zao kwangu na familia yao zilianza nilipohatarisha maisha yangu baada ya kuona wananchi wa kitaabika na kufariki kupitia jinamizi la madawa ya kulevya nilipofanya Makala ya upekuzi JICHO PEVU DAWA ZA KARAHA. Upekuzi ambao uliwaacha wengi vinywa wazi na kukumbatiwa kwa asilimia kubwa na Wakenya. Ripoti ya Saitoti ilitia huzuni familia ya ‘Alpha’ baada ya jina la Joho kuorodheshwa katika kikosi cha walanguzi wa dawa za kulevya nchini.
Smear campaign
Ali says Joho and his family have been showing him in bad light. The Nyali MP explains that Johos did everything within their means to block him from vying for the Nyali constituency seat.
“Sasa hapa Mohammed Ali alionekana msaliti, mshenzi na adui kisa na maana upekuzi wake umewaletea shida. Kilele cha chuki zao kwangu ni pale walipopata taarifa kuwa mkombozi wa wanyonge Mohammed Ali ameingia katika ulingo wa siasa. Walitumia kila mbinu kuhakikisha ima najitoa katika eneo bunge la Nyali au nipiganie ubunge sehemu nyingine kama vile Jomvu au Changamwe.
“Juhudi zilipogongwa mwamba ndipo walipotangaza vita vya mitandaoni eti ‘Mimi si mpwani’, ‘Mimi nimemtenga babangu hata ya wao bila kujua alifariki mwaka wa 2007, ‘Mimi ni kibaraka’. Lakini walisahau mimi sikutumwa Nyali, mimi nazijua shida za Nyali na mimi sitanunuliwa kuisaliti azma, ari na ndoto ya kumkomboa mwana nyali.”
Joho reports Moha to Baba
Mohammed Ali claims that Joho feed Raila Odinga with crap about him. The Nyali MP further states that Raila refused to believe that Joho was telling him. Apparently Baba told Joho that Moha was not only a leader but a liberator.
“Kwa haraka alikimbia kwa ‘Baba’ Raila Odinga kwa lengo la kunipaka tope na kutaka usaidizi lakini alishtuka alipofahamu kwamba Raila anafahamu mchakato wangu wa kupigania haki. Raila anajua hatua nilizopiga kuangazia na kufichua mabaya. Ndipo Raila alimuambia “yule kijana ana kila sababu za kuwa mkombozi wacha tu kiongozi’’. Jibu hili lilimtoa upepo na hakuwa na lakusema ikijulikana fika alitaka ukuruba na Raila ndio ajipatie umaarufu na kujijenga kisiasa. Alimleta karibu Raila sio kwa kuamini falsafa na sera za baba bali kwa kujijenga.”