.

Only Ruto or Governors can steal my bae – Jimal Roho Safi

Jimal Roho Safi, a wealthy businessman, has noticed that his inspirational remarks draw criticism.

The matatu owner told SPM Buzz that men should take his advice on how to approach women seriously.

“It is simple sana. I know most of the people know my posts are controversial and they criticize I don’t practice what I preach. I don’t block people wale wana ni criticize, I know a lot of success is in front of me.
Ukitaka dame astick na wewe, treat her well, design hataona mwanaume mwingine haja yake. So if you treat your lady so bad, obvious unampatia room for another man to come in.

For example you have a V 8 mungu amekubariki nayo na dame yako ama wife yako anakaunag na ka mercedes kidogo na ako na mazishi.

Don’t be so insecure mpatie hio ama io gari kubwa uko nayo wacha aende akatese nayo, hakuna mwenye anaweza kati aadame mweney ako na gari kubwa kumliko, so treat her well and you will get what you need from any women umeweka kwa nyumba.
Lakini si ati uko na pesa yako unakaa tuu pale, dame ana unadunga fiti, uko na iphone lakini ule pande ingine, unampiga mamention tuu, kuna machali wana doh, kuna atapita na yeye asubuhi na wakimpatia offer dame ata give in, treat dame poa, you will have peace.
Mapenzi ni kama campaign, ukipiga unaipiga ukijua end game lazima ni win hii game, machali sasa hivi huku kenya unapata akishatoa tuu dame nguo, amelala na yeye after hapo campaign anawacha. Huu dame hata kama ako na mtoi ako na value kwa chali mwingine.

Io kitu huhappen lakini ndio ihappen lazima pia huyo dame afeel impact yako na huyo chali lazima akuwe ameraise bar yake level ingine ambayo sio yako mi dame akiniwacha labda akatiwe na Governor ama President, io ndio kitu moja naamini.

So mi nikitaia dame I usually make sure I represent all the cushites. Sitachekelewa ten.

So guys treat your woman right hata kama mumekosana kitu ulikuwa umempromise isikae kama io ni blackmail ati mpaka turudiane ndio mambo yako be a gentleman an usahau ipo maeneo once and for all.”

 

 

About this writer:

Ozymandias

My name is Ozymandias, King of Kings; Look on my Works, ye Mighty, and despair! Nothing beside remains. Round the decay

 
      
             
 
           
.