.

“Muache Upuzi ya Maandamano,” Cassypool Tells Gen Zs

Kenyan comedian Cassypool has come out to urge Kenyans to stop their repeated weekly protests. He is of the opinion that violence is not the answer. When interviewed, this is what he said:

Kwa nchi ya Tunisia, mambo kama haya yalifanyika katika hiyo nchi. Na wakati ilifanyika jambo kama hii, watu walichukulia mzaha. Watu wakachukulia ni kitu ambayo mitandao inafanya, watu wanasema… at some point walitoa Rais, siku ya mamlaka. Wanajeshi wakachukua mamlaka. Wale waliochukua tena kuna wenye waliwapangia wakachukua tena mamlaka. Na baada ya kuchukua mamlaka leo hii nchi ya Tunisia haijawahi stabilize. Usicheze na vita. Vita inaleta kifo. Vita inaleta njaa. Na ndio maana unaona tumekimbia miezi tatu watu wako na njaa. Unaona watu wanatembea town macho imeparara. We’re not going to tolerate this nonsense. Na hii ni nonsense inatoka kwa watu ambao hawajui shida ambayo vita inaleta.

He also said that he is a William Ruto supporter and he will remain loyal to the president:

Haimaanishi ya kwamba leo mimi ni rafiki alafu mashida yakitokea mimi nakutoka. Mimi sio kama mwanasiasa yeyote. Naamini kwa mtu ambayo ni rafiki yangu na nimekuambia I pledge my loyalty to William Samoei Ruto kama president wa nchi

Get the full interview here:

About this writer:

Baba Ghafla


 
      
             
 
           
.