.

¨Mi na Vera ni marifiki. Tumekuwa na yeye Las Vegas¨ King Kaka explains

In an interview with Citizen TV´s Mseto East Africa´s show host, Willy M Tuva, King Kaka had these to share:

Yeah.

Mimi na Vera ni marafiki.

Na pia tulikuwa kwa the same show na yeye.

Tumekuwa na yeye Las Vegas, pia nikiwa LA, tumezungumza, lakini yeye alikuwa anaenda ziara tofauti.

King Kaka with socialite, Vera Sidika, in the US

Yaani tunaongea na yeye muda kwa muda sana.

Ni rafiki tumejuana kwa muda pia.

Mzazi questioned about his relationship with his beloved wife, and her reaction when she sees such images on his social media.

Rap artist, King Kaka and wife, Nana Owiti

Aaah…Yeye anaheshimu kazi yangu.

Unajua kuna line yangu inasema ´Niliwacha kuwa inspired na wao siku hizi niko inspired na family kwa hao´.

The Eastlando Royalty King Kaka, cleared the air on matters, family.

Unajua pia huwa inafika kwa maisha ya mwanaume, kuna levels.

Familia inaanza kuwa muhimu sana so me familia imekuwa muhimu kwa muda mrefu.

Alafu pia anaelewa kazi yangu.

Mi nashinda…saa zingine, wanawake ni mafans wangu.

Uhm….wanataka kushinda na mimi, ni mapicha, nini, and I usually post them, so….

Ye anaelewa ni kazi yaaani…so ye hana shida.

King Kaka and Khaligraph Jones working together

Khaligraph had earlier on requested King Kaka to include him in his shows and projects in the future and this is what King Kaka said in reference to the request:

Eeh… Khali haina shida, ata Khali tunaongea sana.

Juzi amenipost, mimi nimempost.

Tunaongea sana.

Mi sina ubaya.

Kazi ikitokea, inafanyika.

´Micasa Sucasa´ hitmaker, Khaligraph Jones aka Papa Jones

Ni vile tu saa hizi kila mtu ana mipangilio yake,

Kila mtu ana kazi yake anafanya.

Lakini, wakati utakuja tu.

Usiogope.

King Kaka and Octopizzo

At Mseto East Africa show, On Hip Hop Teusday, Octopizzo sighted that they are buddies, they talk a lot and they have no issues.

Rapper, Octopizzo

But do they plan on working together as a team?

Eeh, Congratulations pia to Octopizzo rafiki yangu sana kutoka kitambo.

Tumehustle na yeye sana tangu wakati wa… Wapi, British Council.

So wakati mimi naona akifanya vitu International, mimi nafurahi sana.

And we also call each other, to encourage each other, yaani.

So, ndo hivyo.

About this writer:

Gloria Katunge


 
      
             
 
           
.