.

Jahmby Koikai shares funny story of when she dated a rich kid 

Presenter Jahmby Koikai recently opened up of when she dated a rich kid. The presenter, who is suffering from Endometriosis, a disorder in which tissue that normally lines the uterus grows outside the uterus, opened up about dating the guy who was Lavington and, it’s rather funny.

Here’s what she said:

I love this throwback pic. Anyway isn’t it amazing how back in the day, we would do all we could to be in love lol? Love is a beautiful thing. You should never be made to feel less of a person by the other person. You never have to be ashamed of where you come from. You should be yourself. If someone doesn’t love who you are, that’s not your problem. That’s their problem. I’ve seen loads of ghetto yutes with uptown girls here in America ( all Kenyan btw). Something that wouldn’t necessarily take place because of our classism society. It makes me so happy kuona mtu wa Kayole na Lavington wameshikana. Dandora na Karen. Kawangware na Muthaiga. Kibera na Runda etc.”

“I dated some uptown guy who once invited me for dinner at their place. He warned me not to say where I come from but I should instead say i came from Lavington. Sasa hapo ndio nikajua hii ni noma. Nikisema kwetu ni Lavington niulizwe street gani ntasema? Ama nikiulizwa doggy zetu hupelekwa kwa veterinary mgani ntasema? Hahahahahaha na sa hiyo doggy zote kwetu ni mwitu hazinanga mwenyewe ni za Mungu?????? Ama nikiulizwa gate code ntasema? Hahahahah na sahi gate yetu hata kufuli haina. Ama nikiulizwa groceries si hununua wapi ntasema? Na sa hiyo madhe na shosho yangu hawakosi soko ya Ungwaro kila Tuesday na Friday wakijazana na mboga za kienyeji hahahahahahaha.
Na nikiulizwa kina madhe ni members wa Club gani ntasema? Na sa hiyo kina madhe tu ni machama tu lol.”

Dinner ikaiva. Keja sa hiyo imejaa njeve juu pia hawa mababi hawaongeleshanagi sana. Chef akaleta dish hapo. Mi na usoro za mtaa nikangoja kucheki ni nini chef amepika. Nikangoja watu waombe lol niliona kila mtu amejiserve wengine wameenda sijui upstairs kudish tukabaki hapo na morio wa mine na mzae wake hahahahahaha. Mzae akaniuliza ‘Wewe dio unaitwa nani?’ Nikasema Jahmby. Mzae akadai ‘Ooh ok Jabi’…akaniuliza ‘Kwenyu ni wapi?’….nikajikuta nimesema 46??????? mzae anashindwa kijana wake alitoana na huyu dame wapi lol. Akauliza 46 ni wapi…nikamshow at the end of Braeburn and Rusinga School. Nikaona mzae ameinua kichwa anangoja nimwai directions za kwetu kama Uber haha. Nilichujiwa hapo jo. Wacheni watu wapendane ghetto na mababi,” she concluded.

About this writer:

Pauline Syombua

Content Developer IG: Kermbua

 
      
             
 
           
.