.

East Africa Journalists don’t support our music – Harmonize screams

Singer Harmonize has come out to bash journalists in East Africa saying they don’t support the region’s music.

Speaking in an interview, Harmonize attacked journalists for sidling artists from East Africa while they are quick to support artists from other regions.

“Katika kitu kinachorudisha chini muziki wetu na tena kwa kasi sana, Ni ugomvi baina ya Media kwa Media. Kwa sababu sasa hivi msanii kabla hajatoka anawaza niende upande gani? akienda huku atabaniwa, Akienda huku atabaniwa. Kuna wasanii wengi wazuri wametoka lakini wanaishi mazingira magumu sana, inatakiwa tukae chini na tuyamalize,” he said.

Same things

harmonize

Harmonize went on to add that they are very many talented artists but the media only wants to speak to a few.

Nakupa mfano ulio hai kuna mtu anaitwa Whozu, Ana kipaji na ametoka lakini yupo katikati anawaza aende wapi?.. Achana na Whozu tu kuna mtu Marioo pia ana kipaji lakini ni watu walio kwenye wakati mgumu.

Watu kama hawawezi kuja kukwambia ila mimi msanii na wale wasanii wenzangu najua wakati walionao. Natamani sana kuona Media zinafanya kazi kwa pamoja, Inawezekana kabisa msanii wa Tanzania au Kenya akajaza ukumbi London kama wasanii wa Nigeria wanavyofanya kwa sababu tuna nafasi kubwa na tunatumia kiswahili. Lakini hatuwezi kwa sababu sisi wenyewe tunavutana huku chini.

https://youtu.be/kkGEi_WrJEQ

 

About this writer:

Pauline Syombua

Content Developer IG: Kermbua

 
      
             
 
           
.