.

‘Binadamu Aina Gani Wewe?’ Rayvanny Slams Harmonize For Hitting On Kajala’s Daughter, Leaks WhatsApp Chats

Former Tanzanian Wasafi Records signees Rayvanny and Harmonize have been at loggerheads for quite some time now, mostly on the issue of relationships. Days ago, Kajala unfollowed Harmonize and deleted pictures with him. Harmonize is allegedly eyeing on Kajala’s daughter Paula and Rayvanny is not taking this issue lightly.  It’s important to note that Harmonize also lectured Rayvanny months ago on trying to date Paula.

Rayvanny has now turned the tables and slammed Harmonize on Instagram saying,

”Dunia ina maajabu yake lakini sijawahi ona mtu wa ajabu kama wewe my bro @harmonize_tz. Ni binadamu wa aina gani wewe ambae unataka kua na mama na mtoto pia tena kwa nguvu zote na unatuma hadi utupu wako bila hata kuogopa nafasi ulionayo kwenye jamii kujidhalilisha kua kama ulivyozaliwa na angali wewe ni kioo cha jamii. Ni roho ya ajabu sana ulionayo yani KILA NIKIKUWAZA SIPATI JIBU NDUGU YANGU. Ulikua unawapigia simu viongozi mbalimbali juu ya swala langu mimi sasa nawaza leo hii utawaangaliaje ?? Wewe ni balozi wa kampuni na zimekupa heshima kama balozi sasa nawaza unapata wapi ujasiri wa kutuma utupu wako. Ni kampuni gani inakubali fedheha hii na je wanakuonaje kwa kitendo hiki ulichokifanya kinachodhalilisha wanawake hasa mama?

Hivi hukumfikiria mama ambae aliekupa heshima wewe na kukuweka karibu na kukutambulisha familia yake? Yani unataka ukatembee na mwanae wa damu yani mwanae wakumzaa? LEO HII MWANAO WAKIKE AKIKUA AKASIKIA UCHAFU HUU ANAKUONA NI BABA WA NAMNA GANI WEWE UNAEMTAKA MAMA NA MTOTO ?

USHAURI WANGU: OMBA RADHI KWA WAZAZI NA KINA MAMA NIKIWA NA MAANA WANAWAKE AMBAO NI MAMA ZETU WANASTAHILI HESHIMA SIO KUDHALILISHWA KAMA ULIVYO FANYA WEWE NA UNAIGIZA KAMA HAKIJATOKEA KITU….. UKIHESHIMIWA BASI JIHESHIMU.”

Rayvanny has also exposed WhatsApp chats of Harmonize hitting on Paula;

About this writer:

Dennis Elnino

Content Developer Email: [email protected]

 
      
             
 
           
.