‘ I am A F*****ng Hard Working Woman’ Ray C’s Rage After Newspapers Claim She Is Back To Drugs (Photo)
Ray C’s struggle with hard drugs is well documented and her rehabilitation and journey from the deplorable lifestyle has served as an encouragement to many.
However, it seems certain quarters are not satisfied with her redemption story and are keen to make a kill on stories about her getting back to the drug use.
Well, such attempts by some newspaper in Tanzania has seen the songstress get in a rage and proceed to call out the writers of the story in a rage filled social media rant.
She even promised to take them to court over their careless and unfounded claims. This is the quite lengthy post she said decrying the slanderous reporting;
Seriously kwa kweli huwa naumia sana sana kuona binadam mwezangu anadiriki kuniharibia jina langu ilj yeye apate kula!hamjui mnaniathiri kiasi gani na hizi habari zenu?Hivi unadirikije kuandika usengwile kama huu bila hata aibu wala picha ya kuisapoti hiyo habari yani ni ujinga ujinga tu umeunganishwa na picha yangu bila hata uoga mmeichukua kutoka kwwnye page yangu ya insta bassss tayari mmeshapata story ili mradi tu mniharibie maisha yangu ili nyie mpate pesa mi nife maskini!!!kama kweli mnauhakika na mlichoandika kwanini hamkuweka picha yangu nikivuta hayp maunga badala yake mnaweka picha ya kituo cha mkunguni ambapo madaladala husimamisha kituoni hapo.mmepiga picha ya kituo cha mkunguni mkaona haitoshi mkaingia kwwnyw page yangu ya insta na kuchukua picha yangu niliojipiga mwenyewe ndio mnazitumia kunichafulia jina langu tena wakati ndio kwanza nahangaika kurudi tena kwenye kazi yangu. Haki amungu sijawahi kuskia hata siku moja nyie global mmeandika kuhuau foundation yangu na mambo mazuri iliofanya,jw mnajua kama mpaka sasa nimeshatoa vijana zaid ya sabini kwenye madawa na wako fit wanatumia methadone je mnajua hilo?Hata siju moja sikawahi pata msaada wowote kutoka kwenu japo kunichangia nauli. tu ya kuja kwenye dawa kila siku hakuna hata anaenisaidia huu mwaka wa tatu bado naendelea kunywa dawa na ni kila siku ya mungu siku saba kwa wiki hakuna sikukuu wala msiba na ukikosa mwili unauma vibaya sana yani its not easy but am a fucking hard working woman na ni mwanamke jasiri napambana na siogopi kujaribu,naparangana na haya madawa na nayapinga na kamwe sintorudi nyuma na hizi nuksi mzipeleke kwenye familia zenu,wewe shigongo unamkosea sana mungu!unajifanya mlokolw lakini kazi yako ni kuharibia maisha ya wenzio unasahau kuwa malipl ni hapahapa duniani!Mimi ni kapuku tu sina mbwlw wala nyuma mbele yako lakini bado unanichimbia kaburi angali mi mzima.Na wewe Mayasa Marwata ni mpuuzi usie jua kazi yako!nimeisoma stori yako nimegundua ni mvivu Wa kufatilia habari!eti Chimbo LA unga langu lajulikana sasa kama ushalijua mbona haukunipiga nikivuta huo unga unaenda kupiga pixha kituo cha daladala bwege we!Ntapambana na nyie MAHAKAMANI.