Huku Ndiko Kuolewa! Crossover 101 Faith Muturi Apachikwa Mimba Miezi 6 Baada Ya Harusi (Picha)

Mtangazaji wa kipindi cha runinga Crossover 101 Faith Muturi na mumewe wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza.

Faith Muturi alitangaza habari hizi kwenye mitandao za kijamii huku akiwa na furaha na hata kupata kuonyesha mimba yake hewani. Wawili hao wamefanikiwa katika juhudi zao za uzazi, miezi sita tu baada ya ndoa yao ya kufana Desemba mwaka uliopita.

Faith Muturi anajiunga na wasanii wengine ambao wanatarajia kuwa wazazi mwakani. Zetu ni hongera na kuwatakia dua njema Inshallah! Hii hapa picha yake akisherehekea kufanikiwa kwake.

 

faithmuturi.PNG

About this writer:

Liatema Munyu